send link to app

Kiwanja Buku


4.0 ( 8720 ratings )
Wirtschaft
Entwickler Dephics Company Limited
Frei

Kitumizi hiki ni kwaajili ya wateja wa Kiwanja Buku chini ya mradi wa Clouds City. Kitumizi hiki kinawasaidia wateja kuona taarifa za viwanja vyao na mtiririko wa malipo.

Viwanja vilivyopimwa na miundombinu yote ipo katika mradi wa Clouds City uliopo Tundwi Kigamboni wenye viwanja 1000, malipo ni kwa mkupuo au kidogo kidogo hadi Tsh. 1000= kwa siku na malipo yanatakiwa kukamilika ndani ya siku 1000.

Ukubwa wa viwanja ni kuanzia SQM 400 na kuendelea. Gharama kwa SQM moja ni Tsh. 8000=, ikihusisha na kupata hatimiliki bila gharama za ziada. Karibu sana Kiwanja Buku ujipatie kiwanja chako.

Maeneo vilipo ni Kigamboni – Ni Tundwi Center – Kigamboni. Ofisi ziko Corner Stone, Kibada – Kigamboni.